Explore our Library
Tina na Tima wanataka kucheza kandanda.
Mpira wao hauna pumzi. Wanajaribu kuutia
pumzi lakini wanashindwa. Je, watafanya nini?
Je, watacheza? Mchezo unakuwaje?
Soma Mchezo wa Furaha na Hadithi Nyingine
kufurahia visa vya Tina na Tima.
Msingi wa Ushairi Kwa Gredi ya 9 kimeandikwa kwa ufundi ili kufanikisha ufundishaji na ujifunzaji wa ushairi huku kikimjengea mwanafunzi msingi wa kuchanganua mashairi katika viwango vingine.Vipengele vya kimsingi vya ushairi vimeshughulikiwa kwa njia wazi na nyepesi inayomwezesha mwanafunzi kukitumia kitabu hiki kwa urahisi bila msaada wa mwalimu au mlezi.
Grab your Copy
Kala ni mwanafunzi katika Shule ya Uzima. Huko shuleni, wanafunzi hupewa vyakula mbalimbali. Kuna vyakula ambavyo Kala anapenda na vingine ambavyo hapendi. Siku moja, anaamua kujibebea chakula kutoka nyumbani. Baadaye, Kala anajikuta kwenye hatari akila chakula chake kichakani.Je, Kala anajikuta kwenye hatari gani? Soma Simba wa Kala na Hadithi Nyingine kujifahamisha yote yaliyotendeka.
Grab your Copy5
"This was such a valuable and engaging read. The information was presented clearly and kept my attention from start to finish. I walked away not only with new insights but also with a deeper understanding of the topic. Highly recommended for anyone looking to learn and grow."
James D.
April 21, 2024
5
"Clear, informative, and thoughtfully written—this content truly exceeded my expectations. It's rare to find material that balances depth with readability so well. I felt like every section offered something useful and relevant, making it an enjoyable and enriching experience."
Susan B.
May 1, 2024
5
"A truly impressive piece of work. It kept me interested throughout and left me with plenty to think about. I appreciate the balanced, insightful approach—it’s content like this that keeps me coming back."
Christian H.
May 21, 2024
5
"Lorem ipsum dolor sit amet, nec cu omnium ponderum instructior, eligendi gubergren cotidieque te eam. Sed ceteros salutatus definiebas eu, ut modo argumentum reprimique quo. Per te convenire facilisis. Eu vel noster scaevola molestiae. Lorem ipsum dolor sit amet, nec cu omnium ponderum instructior, eligendi gubergren cotidieque te eam.
Stephanie K.
August 21, 2024